Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.




 
Kiingirio cha  kuingia kwenye mechi ya magwiji wa Barcelona Vs MAgwiji wa Taifa Stars siku ya Jumamosi pale uwanja wa Taifa na sehema ambazo tiketi zitapatikana ni kama ifuatavyo.
VIP A………300,000/=
  • VIP B………100,000/=
  • VIP C………30,000/=
  • Jukwaa la Orange…….20,000/=
  • Jukwaa la Blue………..10,000/=
  • Jukwaa la Kijani………7,000/=
Ticket zitaanza kuuzwa kesho asubui kwenye vituo vifuatavyo
  • Uwanja wa Karuma
  • Break Point – Posta mjini
  • Dar Live -Mbagala
  • Buguruni Sheli
  • Ubungo Oil Com
  • Makumbusho Stand
  • Feri Kigamboni na Feri upande wa Kivukoni
  • Uwanja wa taifa
  • Mlimani City
  • NPS (Natinal Parking System wa mjinj nao watauza ticket pia)


Chapisha Maoni