Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.



B15E4SS0782Namibia wamebeba COSAFA CUP kwa mara ya kwanza baada ya kuichapa Mozambique 2-0 kwenye Fainali iliyochezwa Moruleng Stadium huko Nchini  South Africa.
Bao zote 2 za Namibia zilifungwa na Winga wao Deon Hotto.
MATOKEO:
NUSU FAINALI-NGAO
Jumatano Mei 27
M17 (NF1): Zambia 3 Ghana 0
M18 (NF2): South Africa 0  Malawi 0 [Malawi yasonga Penati 5-4]
NUSU FAINALI-KIKOMBE
Alhamisi Mei 28
M19 (NF1): Namibia 3 Madagascar 2
M20 (NF2): Botswana 1 Mozambique 2
FAINALI-NGAO
Ijumaa Mei 29
M21 (Fainali-Ngao): Zambia 0 Malawi 1
Jumamosi Mei 30
FAINALI-KIKOMBE
M23: Namibia 2 Mozambique 0


Chapisha Maoni