Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.


Yanga Imetolewa baada ya kufungwa kwa bao 1-0 dhidi ya Etoile du Sahel.
Yanga-vs-Etoile-du-Sahel-1-e1429432765972
Mechi hiyo ya pili ya Kombe la Shirikisho kwenye Uwanja wa Olimpiki mjini Sousse, Tunisia, imeifanya Yanga ing’oke kwa jumla ya mabao 2-1 ikiwa ni baada ya sare ya bao 1-1 jijini Dar.
Yanga ilionyesha mchezo mzuri lakini bao la kipindi cha kwanza lililofungwa na nahodha Amar Jemal kwa kichwa, ndiyo lililowang’oa.


Chapisha Maoni