Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.


Van Gaal yupo tayari kumwaga pesa kwenye usajili wa kiangazi hiki huku Jasper Cillessen, Sergio Ramos, Bastian Schweinsteiger na Karim Benzema wakiwa kwenye orodha take ya manunuzi. 

Jasper Cillessen, Sergio Ramos, Bastian Schweinsteiger and Karim Benzema

Pesa si tatizo: Je nyota hawa wanne watatua United?
Van Gaal anatarajiwa kutumia pauni milioni 150 nyingine kiangazi hiki ili kuboresha kikosi chake kilichoshika nafasi ya nne na kurejea Ligi ya Mabingwa.
Kocha huyo wa Kiholanzi anataka kusajili golikipa, beki wa kati, kiungo na mshambuliaji katika mpango wake wa kuongeza angalau wachezaji wanne 'world class' kabla ya msimu mpya haujaanza August 8.
Huku kipa David De Gea akiwa njiani kuelekea Real Madrid, Van Gaal ametupia macho watu kadhaa ili kuziba pengo akiwemo kipa wa Tottenham Hugio Lloris.
Lakini kipa wa Ajax Jasper Cillessen, ambaye alikuwa kipa namba moja wa timu ya taifa ya Holland kweye Kombe la Dunia chini ya Van Gaal yuko kwenye nafasi nzuri zaidi ya kuziba pengo la De Gea.
Ingawa Cillessen  anahofia kuwa Ajax itaweka bei ya kukatisha tamaa ili asiende Old Trafford, United inaamini inaweza ikamnasa kipa huyo mwenye umri wa miaka 26 kwa pauni milioni 20.

Nyanda: Cillessen anatarajiwa kuziba pengo la De Gea
Mbali na kipa huyo, Van Gaal pia anakaribia kumsajili beki wa kati wa Real Madrid Sergio Ramos huku ikimsaka pia mshambuliaji Karim Benzema na kiungo wa Bayern Munich Bastian Schweinsteiger.
MANCHESTER UNITED KUFANYA USAJILI WA KISHINDO ... Van Gaal apania kuwanasa Jasper Cillessen, Sergio Ramos, Bastian Schweinsteiger na Karim Benzema A+ A- Print Email Van Gaal yupo tayari kumwaga pesa kwenye usajili wa kiangazi hiki huku Jasper Cillessen, Sergio Ramos, Bastian Schweinsteiger na Karim Benzema wakiwa kwenye orodha take ya manunuzi. Jasper Cillessen, Sergio Ramos, Bastian Schweinsteiger and Karim Benzema Pesa si tatizo: Je nyota hawa wanne watatua United? Van Gaal anatarajiwa kutumia pauni milioni 150 nyingine kiangazi hiki ili kuboresha kikosi chake kilichoshika nafasi ya nne na kurejea Ligi ya Mabingwa. Kocha huyo wa Kiholanzi anataka kusajili golikipa, beki wa kati, kiungo na mshambuliaji katika mpango wake wa kuongeza angalau wachezaji wanne 'world class' kabla ya msimu mpya haujaanza August 8. Huku kipa David De Gea akiwa njiani kuelekea Real Madrid, Van Gaal ametupia macho watu kadhaa ili kuziba pengo akiwemo kipa wa Tottenham Hugio Lloris. Lakini kipa wa Ajax Jasper Cillessen, ambaye alikuwa kipa namba moja wa timu ya taifa ya Holland kweye Kombe la Dunia chini ya Van Gaal yuko kwenye nafasi nzuri zaidi ya kuziba pengo la De Gea. Ingawa Cillessen anahofia kuwa Ajax itaweka bei ya kukatisha tamaa ili asiende Old Trafford, United inaamini inaweza ikamnasa kipa huyo mwenye umri wa miaka 26 kwa pauni milioni 20. Nyanda: Cillessen anatarajiwa kuziba pengo la De Gea Mbali na kipa huyo, Van Gaal pia anakaribia kumsajili beki wa kati wa Real Madrid Sergio Ramos huku ikimsaka pia mshambuliaji Karim Benzema na kiungo wa Bayern Munich Bastian Schweinsteiger.

Soma zaidi hapa >>: http://www.saluti5.com/2015/06/manchester-united-kufanya-usajili-wa.html
Copyright © saluti 5


Chapisha Maoni