Shirikisho
la Soka Tanzania (TFF) limetoa tuzo kwa kuwatunuku wanamichezo
mbalimbali wakiwemo Marais wote wa awamu nne za uongozi wa Tanzania
akiwemo baba wa taifa, marehemu Julius K Nyerere.
Uamuzi
wa TFF kuwatuza watu hao wakiwemo waandishi wa habari, wachezaji wa
zamani wa timu ya taifa, waandishi wa habari na wengineo ni kutambua
mchambo wao katika maendeleo ya soka nchini wakati Fifa inatimiza miaka
50.
VIONGOZI WA
KITAIFA:
1. Rais
Msataafu Mwl. Julius K Nyerere
2. Rais
Mstaafu Ali Hassan Mwinyi
3. Rais
Mstaafu Benjamin William Mkapa
4. Rais Dk.
Jakaya Mrisho Kikwete
5. Rais
Mstaafu Abeid Amani Karume
6. Rais
Mstaafu Amani Abeid Karume
7.Rais
Mstaafu Abdul Wakili
8. Rais
Mstaafu Abdu Jumbe
9. Rais Dk.
Salmin Amour
10. Rais Dk.
Mohamed Shein
WENYEVITI/MARAIS
FAT/TFF
11.Balozi
Maggid
12. Mzee Ali
Chambuso
13. Said Hamad
El Maamry
14. Alhaj
Muhidin Ahmad Ndolanga
15. Leodgar
Chilla Tenga
MAKATIBU
WAKUU
16. Said
Hassan
17. Abdallah
Mpolaki
18. Kitwana
Ibrahim
19. Martin
Maude
20. Meshack
Maganga
21. Col.
Yunus Abdallah
22. Patrick
Songora
23. Ali
Mwanakatwe
24. Ismail Aden
Rage
25. Angetile
Osiah
26. Michael
Wambura
27. Fredrick
Mwakalebela
MAKOCHA
28. Mansour
Magram
29. Paul West
Gwivaha
30. Joel
Nkaya Bendera
31. Don
Korosso
32. Mohamed
Msomali
33. Shaban
Marijani
34. Hamis
Kilomoni
35.
Syllersaid Mziray
WAAMUZI
36. Gratian
Matovu
37. Kassim
Chona
38. Zuberi
Bundala
39. Mohamed
Nyama
40. Mussa
Lyaunga
41. Ramadhani
Mwinyikonda
42. Ramadhani
Kaabuka
43. Joseph
Mapunda
44. Dunstan
Daffa
45. Said
Almasi
46. Abdul
Rasul Ismail
WACHEZAJI
47. Mohamed
Chuma
48. Kitwana
Manara
49. Miraji
Juma
50. Dracula
51. Mathias
Kissa
52. Hamis
Fikirini
53. Emily
Kondo
54.
Abdulrahman Lukongo
55. Hemedi
Seif
56. Abdul
Aziz
57. Mbwana
Abushir
58. Sembwana
59. Mweri
Simba
60. Omar
Zimbwe
61. Arthur
Mwambeta
62. Ayoub
Mohamed
63. John
Lyimo
64. Mohamed
Mwabuda
TIMU YA TAIFA
1979-1980 ILIYOENDA NIGERIA
65. Leodgar
Tenga (Nahodha)
66. Athuman
Mambosasa
67. Idd Pazi
68. Juma
Pondamali
69. Leopold
Mukebezi
70. Ahmed
Amasha
71. Ramadhani
Nyamwela
72. Mohamed
Kajole
73. Salim
Amir
74. Jella
Mtegwa
75. Mtemi
Ramadhani
76. Adolf
Rishard
77. Hussein
Ngulungu
78. Juma
Mkambi
79. Omari
Hussein
80. Thuweni
Ally
81. Mohamed
Salim
82. Peter
Tino
83. Rashid
Chama
84. Slomir
Wolk (Kocha Mkuu)
85. Joel
Bendera (Kocha Msaidizi)
86. Dk.
Katala (Daktari wa timu)
87. Mzee
Mwinyi (Meneja)
88. Willy
Kiango
89. Daud
Salum
90. Stanford
Nkondora (Mkuu wa Msafara)
MAWAZIRI WA
MICHEZO
91. Mrisho
Sarakikya
92. Chadiel
Mgonja
93. Fatma
Said Ally
94. Prof.
Phillemon Sarungi
95. Prof.
Juma Kapuya
96. Mohamed
Seif Khatib
97. Dk.
Emmanue Nchimbi
VIONGOZI WA
BARAZA LA MICHEZO LA TAIFA (BMT)
98. Said
Hamad El Maamry
99. Balozi
Maggid
100. Moses
Mnauye
101. Makame
Rashid
MAKATIBU BMT
102. Salum
Dossi
103. Mohamed
Lutta
104. Ernest
Mlinda
105. Leonard
Thadeo
WAKURUGENZI
WA MICHEZO SERIKALINI
106. Khalifa
Abdallah
107. Chabanga
Hassan Dyamwale
108. Joas
Nkongo
109. Flavian
Kipanga
110. Henry
Ramadhani
111. Leonard
Thadeo
112. Jenerali
Ulimwengu
WADHAMINI
113. TBL
114. VODACOM
115.
SERENGETI BREWERIES
116. NMB
117. AZAM
118. BAHATI
NASIBU YA TAIFA
119. AIRTEL
120. BANK ABC
121. COCA
COLA
122. NSSF
123. AZAM
MEDIA
124. BARRICK
GOLD MINE
125. AIR
TANZANIA
126. TANZANIA
RAILWAY CORPORATION
127. SYMBION
128. TANZANIA
TOBACCO BOARD
129. TANZANIA
COFFEE BOARD
130. TANZANIA
SISAL BOARD
131. TANZANIA
HARBOU AUTHORITY
132. BIMA
133. UHAMIAJI
134. BORA
135. URAFIKI
136.
TACOSHILL
WATANGAZAJI
WA MPIRA
137. Omar
Masoud Jarawa
138. Salim
Seif Mkamba
139. Ahmed
Jongo
140. Nadhir
Mayoka
141. Halima
Mchuka
142. Idd
Rashid Mchatta
143. Charles
Hilary
144. Dominic
Chilambo
145. Tido
Mhando
146. Abdul
Ngalawa
147. Mikidad
Mohamoud
148. Abdallah
Majura
WAANDISHI WA
HABARI ZA MICHEZO
149. Tommy
Shitole
150. Willie
Chiwango
151. Steven
Rweikiza
152. Muhidin
Issa Michuzi
153. John
Ngahyoma
154. Mwalimu
Omar
155. James
Nhende
WAHAMASISHAJI
WA TIMU YA TAIFA
156. JKT
Mafinga Kimulimuli
157. Mbaraka
Mwinshehe
MABINGWA WA
LIGI
158.
Cosmopolitan
159. Simba
Sports Club
160. Young
Africans Sports Club
161. Mseto
162. Pan
African
163. Tukuyu
Stars
164. Coastal
Union
165. Mtibwa
Sugar Football Club
166. Azam
Football Club
WAWAKILISHI
WA MUUNGANO
167. Malindi
FC
168. Tanzania
Stars
169. Pamba FC
170. Reli
Morogoro
171. African
Sports
172. Tanzania
Prisons
173. Simba
Sports Club
174. Young
Africans Sports Club
VIONGOZI WA KLABU
175. Shaban
Mwakayungwa
176. Tabu
Mangara
177. Kondo
Kipwata
178. Jabir
Katundu
179. Amiri
Ali Bamchawi
180. Juma
Salud
181. David
Ngonya
182. Priva
Mtema
183. Mama
Fatma Karume
184. Ramnik
Patel Kaka
185.
Aboubakar MgumiaU13
Chapisha Maoni