Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.




Messi-Singano1.jpg



Winga wa zamani wa klabu ya Simba Ramadhani Singano ‘Messi’ amesema kwa sasa anahitaji muda wa kutulia na familia yake kabla hajajua ni wapi ataelekea kwa ajili ya kuendelea kucheza soka, jana kamati ya sheria, maadili na hadhi za wachezaji chini ya mwenyekiti wake Richard Sinamtwa iliuvunja mkataba kati ya Simba na mchezaji huyo kufuatia klabu ya Simba kutofuata masharti ya vipengele vya mkataba wao.


Ramadhani Singano 'Messi' (katikati) akizungumza na waandishi wa habari
Messi amesema mpaka sasa hivi bado hajajua ni wapi ataelekea kwani muda mwingi alikuwa anafikiria suala lakela mkataba kati yake na klabu yake ya zamani (Simba SC).



Chapisha Maoni