Manchester United:
Romero 7.5, Darmian 7.5 (Valencia 80), Smalling 6, Blind 6.5, Shaw 6,
Schneiderlin 6.5, Carrick 6 (Schweinsteiger 60, 5), Young 7, Mata 8,
Rooney 5.5, Depay 6 (Herrera 67, 6)
Subs not used: Hernandez, McNair, Andreas Pereira, Johnstone
Booked: Schweinsteiger, Mata
Goals: Walker (own goal) 21
Tottenham Hotspur:
Vorm 6.5, Walker 6, Alderweireld 7, Vertonghen 6.5, Davies 6, Dier 6.5
(Alli 76), Bentaleb 5 (Mason 52, 6.5), Chadli 6, Eriksen 7, Dembele 6.5
(Lamela 69), Kane 7
Subs not used: Lloris, Trippier, Wimmer, Carroll
Booked: Vertonghen, Dier, Alli
Referee: Jon Moss
Att: 75,261
SABABU 9 ZA UNITED KUWA BINGWA MSIMU HUU
Magoli ya Wayne Rooney: Wayne Rooney anakaribia
kuvunja rekodi ya ufungaji bora wa muda wrote wa klabu ya Manchester
United, hilo pamoja na kupewa nafasi ya kucheza mbele msimu huu,
vitakuwa ni chachu ya ubingwa Old Trafford.
Van Gaal bado ni mshindi: Mocha Louis Van Gaal
amekuwa akihangaika katika msimu wake was kwanza karibu katika kila timu
alizofundisha. Bila Shaka ni wakati wake was ushindi Kama alivyoshinda
na timu nyingine zote.
Old Trafford bado ni ngome: Ukiacha mechi ya
Westbrom katika hatua ya pili ya ligi, Manchester United walishinda
mechi 14 Kati ya 16 wakiwa Old Trafford. United wanaweza rudisha Old
Trafford kuwa sehemu ngumu kwa wapinzani.
Morgan Schneiderlin na Bastian Schweinsteiger: Mwaka
Jana Manchester United walihangaika Mara tu walipokuwa wakimkosa
Michael Carrick, ujio wa viungo hao wawili mahususi ni dalili kwamba
hawatahangaika tena.
Ukubwa wa kikosi: Ili timu ifanye vizuri inahitaji
kuwa na mbadala karibu katika kila idara. Manchester United wameongeza
watu ambao ukijumlisha na waliopo, wana kikosi cha kutosha.
Kuwaondoa wachovu kikosini: Angel Di Maria, Radamel
Falcao na Robin Van Persie wote wameondoka na ni uamuzi sahihi was
klabu kubakia na wachezaji waliojikomiti na wenye uwezo mzuri na moyo
wa kupambana.
Chelsea wanaonekana kupungua uwezo: fomu ya Chelsea
ingawa ndio mwanzo lakini inaonekana hawatakuwa saw a kutokana na
majeruhi ya Diego Costa na umri wa mkongwe Terry pamoja na uchovu wa
kikosi kizima msimu huu.
Uwezo wa kumudu Big games: Msimu uliopita Manchester
United walikusanya points za kutosha kutoka kwa time kubwa Kama
Liverpool, Arsenal, Manchester City na Spurs, hill linawapa nguvu ya
kushindania ubingwa.
Wanasonga mbele: Manchester United wameonekana
kukosa uvumilivu na kile kinachoonekana kuwarudisha nyuma ama
kuwakwamisha. Mara baada ya kutoridhika na David Moyes, haraka
walifanya maamuzi na bila shaka wataendelea hivyo.
Majeruhi kikosini: Kila mmoja Old Trafford anaombea
kupita kwa upepo wa mwaka jana wa majeruhi kikosini ili wawe vizuri
msimu huu. Luke Shaw yuko fiti sasa, hali ikibakia hivi wanaweza
kunyakua ubingwa msimu huu, tusubiri tuone.
Chapisha Maoni