TIMU ya wekundu wa msimbazi Simba,imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Sports SC Villa ya Uganda Katika mchezo uliopigwa leo siku ya Simba Day.
Shujaa; Awadh Juma (kushoto) akikimbia kushangilia na Simon Sserunkuma |
Kikosi cha Simba SC kilikuwa; Vincent Angban, Hassan Kessy/Emery Nimubona dk62, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’/Samih Hajji Nuhu dk75, Hassan Isihaka, Juuko Murushid, Justuce Majabvi, Said Ndemla, Ibrahim Hajib/Simon Sserunkuma dk46, Hamisi Kiiza/Danny Lyanga dk83, Mussa Mgosi/Boniphace Maganga dk84 na Peter Mwalyanzi/Mwinyi Kazimoto dk46.
SC Villa; Stephen Odongo, Misi Katende,Yoseri Waibi, Henry Katongole, Paul Mbowa, Jonathan Mugabi, Godfrey Lwesibawa/Eturude Abel dk73, Martin Kiiza, Tokko Fahad/Kasumba Umaru dk66 na Robert Achema.
Wachezaji wa timu ya Viongozi wa Simba SC, wakimpongeza mwenzao Dylan Kerr baada ya kufunga bao pekee katika ushindi wa 1-0 dhidi ya timu ya Wasanii Tanzania Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam jioni hii katika mfululizo wa tamasha la Simba Day.
Chapisha Maoni