Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.


Rais wa shirikisho la kandada duniani FIFA Sepp
Blatter, amekataa wito kutoka kwa baadhi ya
wafadhili wakuu wa shirikisho hilo wa kumtaka
ajiuzulu mara moja.
Katika kile kinachoonekana kuwa hatua za
pamoja , makampuni ya Coca-Cola, McDonald's,
Visa na Budweiser, yametaka Blatter kuondoka
FIFA sasa , badala ya mwezi Februari jinsi
ilivyopangwa.
Taarifa inasema kuwa hakuna mabadiliko yoyote ya
maana yanaweza kufanyika katika kipindi cha
usimamizi wa sasa.
Utawala nchini uswisi unamchunguza bwana
Blatter kama sehemu ya uchunguzi wake kuhusu
ufisadi.



Chapisha Maoni