Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.


LA LIGA
MATOKEO:
Jumamosi Oktoba 17
Real Madrid 3 Levante 0
Eibar 1 Sevilla 1
Barcelona 5 Rayo Vallecano 2
Valencia 3 Malaga 0
Real Betis 1 Espanyol 3

Barcelona Jana Usiku ikiwa kwao Nou Camp iliitandika Rayo Vallecano Bao 5-2 huku Mbrazil Neymar akipiga Bao 5.
Huu umeifanya Barca iikamate Real kwa Pointi wote wakiwa na Pointi 18 kwa Mechi 8 lakini Real ndio wako kileleni mwa La Liga kwa ubora wa Magoli.
Jana Neymar alipachika Bao 2 kwa Penati baada ya Rayo Vallecano kutangulia kufunga kwa Bao la Javier Guerra Dakika ya 15 na Neymar kufunga kwa Penati za Dakika za 22 na 32 na kisha kuongeza Bao 2 Dakika za 69 na 70.
Bao la 5 la Barca lilifungwa na Suarez katika Dakika ya 77 wakati Bao la Pili la Rayo Vallecano lilipachikwa Dakika ya 86 na Jozabed Ruiz.
LA LIGA
RATIBA
Saa za Bongo
Jumapili Oktoba 18
1300 Villarreal v Celta Vigo
1700 Real Sociedad v Atletico Madrid
1915 Getafe v Las Palmas
2130 Deportivo v Athletic Bilbao
Jumatatu Oktoba 19
2130 Sporting Gijon v Granada


Chapisha Maoni