Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.


Taifa Stars imepoteza mechi
yake dhidi ya Malawi kwa
kufungwa bao 1-0 mjini
Blantyre, lakini imesonga
mbele katika mechi hizo za
awali kuwania kucheza Kombe
la Dunia mwaka 2018 nchini
Urusi.
Stars imesonga mbele kwa jumla ya
mabao 2-1 baada ya ushindi wake wa
mabao 2-0 kwenye Uwanja wa Taifa jijini
Dar es Salaam
Jijini Dar es Salaam,
Jumatano.
Malawi ilipata bao lake
mwishoni mwa kipindi cha
kwanza kupitia shuti kali
John Banda lililombabatiza
Kelvin Yondani na kumshind
kipa Ally Mustapha.
Hata hivyo kipa huyo
aliendelea kuwa shujaa kwa
kuokoa michomo mingi katik
kipindi cha kwanza ambacho
Malawi walikuwa vizuri zai
Stars walitumia muda mwing
kukaba hasa katika kipindi
kwanza, angalau katika kip
cha pili wakaanza kuonyesh
mabadiliko kwa kupambana
zaidi.
Kutokana na ushindi huo,
inatarajia kucheza mechi m
dhidi ya Algeria ambazo
zitachezwa kati ya Novemba
na 17.



Chapisha Maoni