Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.






Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu (kulia) akimkabidhi mshambuliaji wa Simba, Hamis Kiiza ‘Diego’ mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi Milioni 1 baada kwa kuibuka Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Vodacom kwa Septemba wakati wa mechi ya timu yake na Majimaji iliyochezwa mwishoni mwa wiki ambapo timu yake ilishinda 6-1.Wengine ni kutoka kushoto; Meneja Biashara wa TFF, Peter Simon na Ofisa Udhamini na Matukio wa kampuni wa Vodacom, Ibrahim Kaude.


Chapisha Maoni