Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.


A rsene Wenger ameibuka na tuzo ya kocha bora wa mwezi uliopita katika Ligi Kuu England.
Hiyo ni ni tuzo ya 15 ya mwezi kwa Wenger tokea atue Arsenal mwaka 1996 akitokea Grampus Eight ya Japan.
Mwezi uliopita, Wenger amefanikiwa kuingoza Arsenal kuzitwanga Manchester United, Watford, Everton na Swansea City.



Chapisha Maoni