Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.


KIKOSI CHAO KAMILI HIKI HAPA...
RELATED POSTS
KING KIBADENI KOCHA MKUU KILIMANJARO STARS INAYOKWENDA KUPAMBANA CHALENJI
Alhaj Abdallah Athumani Seif ‘King Kibadeni’ ameteuliwa kuwa kocha wa timu ya Tanzania Bara, K... Read more
STARS VS ALGERIA NOVEMBA 14 PALE TAIFA NI BUKU TANO TU
Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) limetangaza viingilio vya mchezo wa Jumamosi kati ya Tan... Read more
ALGERIA WANAWASILI ALHAMISI DAR, KIKOSI CHAO KAMILI HIKI HAPA...
Msafara wa timu ya Taifa ya Algeria (The Desert Warriors) unatarajiwa kuwasili nchini siku ya Al... Read more
MTANANGE WA AZAM HD KOMBE LA SHIRIKISHO KUENDELEA KUTIMUA VUMBI LEO
Michuano ya Kombe la Shirikisho (AzamHD Federation Cup) inatarajiwa kuendelea leo katika viwan... Read more
SAFA YAANIKA KIKOSI CHA VIJANA WAKE KITAKACHOIVAA TAIFA STARS LEO KATIKA MECHI MAZOEZINI
Shirikisho la Soka Afrika (Safa), limetangaza kikosi cha timu ya taifa chini ya miaka 23 kitakac... Read more
0 COMMENTS:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.
Notify me
Comment as:
Publish
Preview
SALEH ALLY
VIEW MY COMPLETE PROFILE
Be the first of your friends to like this
Salehjembe blog
5 , 182 likes
Like Page Share
KAVUMBAGU SAFARI YA ULAYA IMEIVA, ANAKWENDA ZAKE SWEDEN
Azam FC inaendesha mambo yake kama timu za Ulaya hasa England, kwani baada ya kukataa straika wake Didier Kavumbagu kujiunga na Simba ...
SIMBA YARUDI TENA, YATENGA MAMILIONI MENGINE IMSAJILI MRUNDI MAVUGO
Simba haitaki mchezo kabisa katika kujenga kikosi chake, kwani imetenga kiasi cha dau la dola 50,000 ambazo ni zaidi ya Sh milioni 100...
ALGERIA WANAWASILI ALHAMISI DAR, KIKOSI CHAO KAMILI HIKI HAPA...
Msafara wa timu ya Taifa ya Algeria (The Desert Warriors) unatarajiwa kuwasili nchini siku ya Alhamis kwa ndege binafsi ya kukodi, ukiwa na jumla ya watu 65 wakiwamo wachezaji 24 tayari kwa mchezo wa Jumamosi Novemba 14 dhidi ya wenyeji Tanzania katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Kocha mkuu wa timu hiyo Iitakayofikia Hoteli ya Kilimanjaro Hyatt Kempsinki, Christian Gourcuff raia wa Ufaransa ametaja kikosi cha wachezaji 24, wakiwemo wachezaji 18 wanaocheza katika klabu za Ulaya kwa ajili ya kuikabili Tanzania.
Wachezaji wanaotarajiwa kuwasili Alhamisi ni walinda mlango, Doukha Izeddine (JS Kabliye), M’bolhi Rais (Antalyaspor), Asselah Malik (CR Belouizdad), walinzi Zeffane Mehdi (Rennes), Medjani Carl (Trabzonspor), Ziti Mohamed (JS Kabliye), Mesbah Eddine (Sampordia), Bensebaini Ramy (Montpeller), Belkarou Hichem (Club African), Ghoulam Faouzi (Namples), Mandi Aissa (Reims).
Viungo ni Guedioura Adlane (Watford), Boudebouz Ryad (Montpeller), Taider Saphir (Bologna), Abeid Mehdi (Panathinacos), Bentaleb Nabil (Tottenham), Ghezzal Rachid (Lyon), Melsoub Walid (Lorient), Marhez Ryad (Leicester).
Washambuliaji Benrhama Said (Nice), Sliman Islam (Sporting Lisbon), Belfodil Ishak Beni Yas), Brahimi Yassine (FC Porto) na Bounedjah Baghdad (Etoile du Saleh)



Chapisha Maoni