LIGI KUU VODACOM Ratiba: Jumamosi Januari 30 Coastal Union v Yanga Simba v African Sports JKT Ruvu v Majimaji Tanzania Prisons ...
CHAN 2016: LEO ROBO FAINALI WENYEJI RWANDA PATASHIKA NA CONGO DR!
ROBO Fainali za 2016 African Nations Championship (Chan 2016), ambazo ni Fainali za Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wachezao ...
LIGI KUU KUU YA VODACOM KUENDELEA KESHO
VPL MZUNGUKO WA 15 KUENDELEA KESHO Ligi Kuu ya Vodacom mzunguko wa 15 unatarajiwa kuendelea kesho Jumatano kwa michezo mitano, na Alham...
YANGA YAPAA KILELENI KWA PENALTI
MABINGWA Watetezi wa Ligi Kuu Vodacom, Yanga, wametwaa uongozi wa Ligi baada ya kuichapa Ndanda FC 1-0 katika Mechi pekee ya Ligi iliyochezw...
MATOKEO,RATIBA UINGEREZA
LIGI KUU ENGLAND Matokeo : Jumamosi Januari 16 Tottenham 4 Sunderland 1 Bournemouth 3 Norwich 0 Chelsea...
SIMBA 1-0 MTIBWA
Simba imeibuka na kushindi wa bao 1-0 dhidi ya mtibwa katika mchezo wa ligi kuu ya vodacom. Bao pekee la simba limefungwa na kiiza dakika ...
RATIBA LIGI KUU YA UINGEREZA KWA SAA ZA BONGO.
LIGI KUU ENGLAND Ratiba Saa za Bongo Jumamosi Januari 16 1545 Tottenham v Sunderland 1800 Bournemouth v Norwich ...
RATIBA LIGI KUU YA VODACOM NI VITA WIKENDI HII
LIGI KUU VODACOM Ratiba Jumamosi Januari 16 JKT Ruvu v Mgambo Shooting Toto Africans v Tanzania Prisons Stand United v Kagera Sugar...
KOCHA WA SIMBA AMEFUKUZWA
Muda wa Kocha Dylan Kerr kuinoa Simba umefikia mwisho baada ya uongozi kwa pamoja kukubaliana kuachana naye rasmi. Uongozi wa Simba umefik...
YANGA NA SIMBA ZATOLEWA NUSU FAINALI MAPINDUZI CUP
Simba na yanga watakutana katika kutafuta mshindi wa tatu baada ya kufungwa katika mechi zao za nusu fainali ya mapinduzi cup. Simba imefun...
MAPINDUNZI CUP NUSU FAINALI KUENDELEA LEO.
Mapinduzi Cup Ratiba Nusu Fainali Jumapili Januari 10 Saa za Bongo 1615 Simba v Mtibwa Sugar 2015 Yanga v URA LEO NUSU FAINALI z...
SAMATTA,SAMATTA,SAMATTA ANYAKUATA TUZO YA MWAKASOKA BORA AFRIKA
Samatta , Aubameyang majogoo wa Afrika Mwanasoka raia wa Tanzania anayechezea TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mmbwana Al...