Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.


Simba na yanga watakutana katika kutafuta mshindi wa tatu baada ya kufungwa katika mechi zao za nusu fainali ya mapinduzi cup.

Simba imefungwa na mtibwa bao 1-0  huku yanga wakitolewa na URA katika mchezo wa pili wa michuano ya mapinduzi Cup.

Kwa matokeo hayo yanga na simba watakutana katika mchezo wa kumtafuta mshindi wa tatu.

Mtibwa itamenyana na URA siku ya jumatano katika mchezo wa fainali.

abingwa waliopita

-2007 Yanga

-2008 Simba

-2009 Miembeni

-2010 Mtibwa Sugar

-2011 Simba

-2012 Azam FC

-2013 Azam FC

-2014 Simba

-2015 ??????



Chapisha Maoni