Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.


Mapinduzi Cup

Ratiba

Nusu Fainali

Jumapili Januari 10

Saa za Bongo

1615 Simba v Mtibwa Sugar

2015 Yanga v URA

LEO NUSU FAINALI za Mapinduzi Cup zitafanyika huko Amaan Stadium Zanzibar kwa Mabingwa Watetezi Simba kuanza kucheza na Mtibwa Sugar na baadae Yanga kuivaa URA ya Uganda.

Yanga na Simba zote zilitwaa ushindi wa Makundi yao kw azote kushinda Mechi 2 na Sare moja wakati Mtibwa Sugar na URA zikishika Nafasi za Pili.

Fainali ya Mashindano haya itafanyika Jumatano hapo hapo Amaan Stadium.

Mechi ya Leo ya Simba na Mtibwa Sugar inazikutanisha Timu ambazo zilikutana Fainali Mwaka Jana na Simba kuibuka kidedea kwa Penati 4-3.

Mapinduzi Cup

Mabingwa waliopita

-2007 Yanga

-2008 Simba

-2009 Miembeni

-2010 Mtibwa Sugar

-2011 Simba

-2012 Azam FC

-2013 Azam FC

-2014 Simba

-2015 ??????

Mechi zote kuchezwa Amaan Stadium, Zanzibar

Jumapili Januari 3

Yanga 3 Mafunzo 0

Mtibwa Sugar 1 Azam FC 1

Jumatatu Januari 4

JKU 1 URA 3

Simba 2 Jamhuri 2

Jumanne Januari 5

Mafunzo 0 Mtibwa Sugar 1

Azam FC 1 Yanga 1

Jumatano Januari 6

Jamhuri 0 JKU 3

URA 0 Simba 1

Alhamisi Januari 7

Azam FC 1 Mafunzo 2

Mtibwa Sugar 1 Yanga 2

Ijumaa Januari 8

Jamhuri 0 URA 1

Simba 1 JKU 0

Nusu Fainali

Jumapili Januari 10

1615 Simba v Mtibwa Sugar

2015 Yanga v URA

Fainali

Jumatano Januari 13

2015 Simba/Mtibwa Sugar v Yanga/URA



Chapisha Maoni