Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.




MECHI IMEKISHWA, Juhudi za wenyeji Cercle de Joachim SC kutaka kusawazisha bao hilo moja la Ngoma hazikuzaa matunda katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

Lakini imeonyesha kwamba si timu ya kudharau na Yanga wanaoondoka na advantage ya bao 1-0, lazima wawe makini na wajue watakuwa na mchezo mgumu wa marudiano.

Kingine ambacho kilikuwa tatizo leo ni uwanja kujaa maji, jambo ambalo lilichangia wachezaji kutocheza katika utulivu



Chapisha Maoni