matokeo kombe la dunia England 1 - 2 Italy Colombia 3 - 0 Greece P. Armero 5 ...
Eingereza waanza kutalii brazil,England 1-2 Italy,
Timu ya Taifa ya uingereza wameanza kwa kichapo cha bao 2-1 toka kwa wakatili Italy mchezo uliofanyika usiku wa leo nchini Brazil Engla...
CHILE 3 vs 1 AUSTRAILIA, SANCHEZ AFANYA KAZI NZURI, HISPANIA WABURUZA MKIA KUNDI B
Chile wameanza vizuri kombe la dunia hatua ya makundi baada ya kupata ushindi mnono zidi ya Austrailia mabao yakifungwa na Chile A...
spain yaaibishwa,yalambwa 5-1,hakika ni kisasi cha mwaka 2010 fainali.
Timu ya Hispani imeonja joto ya jiwe baada ya kuchezea kichapo cha mbwa mwizi bao 5-1 dhidi ya timu ngumu ya uholanzi timu ambayo mara nyi...
Mexico yailaza Cameroon bao 1-0.
Mfungaji bao la Mexico Oribe Peralta ...
MICHE ZA LEO KOMBE LA DUNIA
MECHI ZA LEO IJUMAA Friday 13 June 2014 2 Mexico v Cameroon Estadio das Dunas 19:00 3 Spain v Netherlands Arena Fonte Nova ...
BRAZIL YAICHAPA CROATIA 3-1,NEYMAR ATUPIA MAWILI LINGINE OSCAR.TAZAMA PICHA
BRAZIL JANA USIKU WALIDHILISHA KUWA WANAUWEZO WA KUCHUKUA KOMBE LA DUNIA KWA MARA YA 6,BAADA YA KUIVURUMISHA CROATIA BAO 3-1 HUKU KIJANA M...
ROHO YA BRAZIL MIKONONI MWA NEYMAR
Pele; Neymar asiachiwe mzigo pekee yake ...
LEO NI LEO BRAZIL VS CROATIA,RATIBA
Leo ndio leo asemaye kesho ni mwongo pale nyasi zitakapoumia mishare ya saa tano kamili usiku kwa Saa za Tanzania kuashiria kukatwa ut...
MSHAHARA WA MAKOCHA WA KOMBE LA DUNIA,KOCHA WA TIMU YA TAIFA YA MEXICO NDIYE ANALIPWA PESA KIDOGO KULIKO MAKOCHA WEZAKE.
AMiguel Herrera kocha wa timu ya taifa ya mexico anayelipwa pesa kidogo
kikosi cha uholanzi cha kombe la dunia
Goalkeepers: Jasper Cillessen (Ajax), Tim Krul (Newcastle), Michel Vorm (Swansea) walinzi: ...