Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.


David Moyes is under pressure at Manchester United
 NOMA SANA KWA MOYES

 Manchester City imendelea kujiimarisha kileleni kwa kuiadhibu klabu ya Manchester United katika ligi kuu ya premier nchini uingereza.


Paul Scholes

 Sio hilo tu bali Man City wanaongeza shinikizo kali kwa Chelsea walio juu kwenye jedwali la ponti katika ligi hiyo.


 Man Uinted walipata kichapo cha mbwa cha mabao matatu bila nyumbani Old Trafford.
Edin Dzeko aliingiza mabao mawili katika kila kipindi kwa City hapo jana huku Yaya Toure akizidisha machungu kwa bao la tatu mwishoni mwa mechi bila jibu kutoka kwa Man United.
Sasa vijana hao wa City wanashikilia nafasi ya pili nyuma ya Chelsea.PIA alsenal walitoka sare ya 2-2 dhidi ya swasea.



Angry fan confronts Moyesmoyes akiwa amepagawa baada ya timu kuchezea kichapo cha 3-0.


Chapisha Maoni