Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.








Robin van Persie alifunga mabao matatu na kuwasaidia mabingwa watetezi wa ligi kuu ya Uingereza Manchester United, kujikatia tiketi ya kushiriki robo fainali ya kombe la kilabu bingwa
barani Ulaya baada ya kuinyuka Olympiakos mabao 3-0 katika mechi ya mkondo wa pili iliyochezwa Old Trafford,baada ya kupigwa ugenini bao 2-0 majuma mawili yaliyopita,van persie akiibuka nyota wa mchezo huo kwa kuifungia United bao 3 pekee yake.


katika hatua hiyo ya 8 bora Ujerumani inawakilishwa na mabingwa watetezi wa kombe hilo Bayern Munich na Borussia Dortmund huku Uhispania ikijivunia timu tatu yaani , Real Madrid, Athletico Madrid na Barcelona .
Paris Saint Germain ndiyo timu ya pekee kutoka Ufaransa.



Chapisha Maoni