Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.




BOSI wa Atletico Madrid  Diego Simeone amekataa kukiri kama angependa kuwa na hamu ya kujiunga na Manchester United iwapo David Moyes atapoteza kibarua chake


Magazeti kadhaa yameripoti  kwamba Moyes inawezekana akaachishwa kazi na united mwishoni mwa msimu huu na enaelezwa kuwa kocha huyo wa atletico anaweza akachukua nafsi yake suala ambalo bado ni kitendawili.

lakini kwa upande wake Diego Simeone amekataa kuzungumzia chochote juu ya suala hilo huku akisisitiza kuwa kwa sasa macho na masikio ameelekeza kwenye mechi ya nusu faili dhidi ya Chelsea mchezo ambao utafanyika usiku wa leo,saa 21:45 kwa saa za Tanzania.

"Kwa heshima siwezi kusema chochote juu ya swali hilo, lakini mechi ya kesho[leo] ni mechi muhimu sana kwa sisi kushinda sina lingine la kuwaambia zaidi ya mechi na chealsea  "


Chapisha Maoni