Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.




 ALI YUSUPH SULEMAN TIGANA,NYOTA WA SOKA




Ilipoishia jana
baada ya mchezo huo nakumbuka tulipangiwa na Mamelodi sundowns toka nchini Afrika ya kusini ambapo katika mchezo huo mimi na Said mwamba tulifungiwa kwa madai ya utomvu wa nidhamu basi yanga ikapoteza mbele ya waafrika kusini na ikaaga mashingano,etaendelea  .
Songa nayo…………….. 
Kituko

“ilikuwa kali ya mwaka wakati wa mchezo wetu na timu toka Bulawayo kipindi cha pili kipa wetu Doe mokey  kuna kitu alikisema adi leo bao sijaelewa kama alikuwa akitutania au kweli,Mokey alituita na kutuambia kuwa mimi naacha kusimama langoni kwa kuwa goli naliona kubwa sana kuliko la kule wachezaji wote tuliduwaa kwa kuwa aliongea huku akitukazia macho,wezangu wakamjibu wewe usitutanie mbona mwenzako amesimama hapo hapo akulalamika?akaendelea kusisitinza kuwa hawezi kusismama langoni,baada ya kumsii kwa muda allikubari kuendelea na mchezo,lakini kusema kweli siku ile alisurubiwa sana langoni kwa kuwa aliokoa michomo ya hatari sana adi kuna kipindi alilalamika vidole vilikuwa vikimuuma.

Daraja la tatu la zamani sawa na ligi kuu ya sasa.

“kwa wachezaji ambao wamecheza mpira miaka ya 1980 adi 1990  watakubaliana na mimi kuwa ligi kuu ya sasa ni sawa na ligi daraja la tatu  kipindi kile kwa kuwa kipindi kile mpira ulikuwa na ushindani wa hali ya juu sana,timu ya ligi daraja la tatu kipindi kile ikikutana na timu ya ligi kuu kwa sasa hakuna utofauti, vijana wasasa wanashiriki mambo mengi yasiyokuwa ya lazima badala ya ucheza mpira.
Yanga walipotezea dili langu la Ulaya.

“wakati wa nchezo wetu kule Bulawayo kuna waarabu walikuja pale kwa ajili ya kusaka wachezaji,na baada ya kutuona sisi walilidhika na kiwango chetu na waliwaita vingozi wa yanga na wakaafikiana juu ya sisi kwenda Ulaya  ili kufanya majalibio,baadae  nilitofautiana kidogo na uongozi wa timu hiyo hadi wakanifungia wakidai kuwa nilikuwa na utomvu wa nidhamu wakapotezea dili langu la kwenda Ulaya mimi hata sikuuliza.

“Mimi nadhani kucheza kwangu simba ilikuwa tatizo kwa Yanga kwa kuwa kipindi hicho pambano kati yetu na simba lilikuwa limekaribia,  mimi na mwenzangu walitutuumu kuwa tulipokea pesa Simba ili kufungisha Timu kitu ambacho mimi nilikishangaa sasa na wala sikuwai fanya ,na kwa bahati mbaya Simba walitufunga Bao 1-0.itaendelea…………………………………
 Kesho tarehe 26 atasimulia kutokea kwa jina la Tigana pia mgogoro kati ya red stars na pan afrika,usikose.


Chapisha Maoni