Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.


meneja mpya wa manchester united Ryan giggs wikendi hii anatarajia kuingia katika vitabu vya historia wakati atakapo kabiliana na Norwich katika mechi yake ya kwanza ya ligi kuu ya uingereza tangu alipoteuliwa kuwa kocha mkuu wa muda ya timu hiyo bada ya kutimliwa kwa aliyekuwa kocha mkuu wa timu hiyo david moyes.

 

akizungumza na vyombo vya habari wiki hii alisema kuwa "hii ni historia kubwa katika maisha yangu ya soka na bila shaka kipindi hiki cha wiki mbili na nusu kitakuwa kipindi cha furaha sana kwangu"alisema giggis. 

 

nafasi kiungo
Club information
timu Manchester United
(meneja wa muda)
Number 11
akiwa mdogo
1985–1987 Manchester City
1987–1990 Manchester United
akiwa mkuwa kama mchezaji
Years Team mechi alizocheza (magoli)
1990– Manchester United 671 (114)
National team
1989 England U16 1 (1)
1989 Wales U18 3 (0)
1991 Wales U21[3] 1 (0)
1991–2007 Wales 64 (12)
2012 Great Britain 4 (1)
Teams managed
2014– Manchester United (meneja  wa united)


 

Ryan Gigs spoke on Friday morning


Chapisha Maoni