Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.



Rising star: Sterling has been a revelation under Brendan Rodgers and should be on the plane to Brazil
Vijogoo wa  Liverpool ndio washindi watarajiwa wa ligi ya Uingereza baada ya Kuishinda Norwich City mabao matatu kwa mbili katika mechi iliyochezwa wikendi hii,
Kwa sasa Timu ya Liverpool iko na pointi tano zaidi,huku wakiwa na mechi kadhaa za kucheza ikiwemo ile ya Chelsea. 



Japo Chelsea wamesalia katika nafasi ya pili walishindwa kujiimarisha hapo jumapili na kusababisha kuwepo kwa mwanya huo mkubwa baada ya kuchabangwa na timu ya Sunderland kwa bao 2-1.




Ilimbidi kocha wa Chelsea Jose Mourihno kuipongeza Sunderland pamoja na refa aliyeendesha mechi ile ingawa kwa kinaya kwani ilikuwa ni kama kumtoneshea kidonda hasa baada ya ile faini aliyopigwa baada ya kupatikana na kosa la kumkaripia refa katika mechi ambapo alihisi ameonewa.


TIMU 7 ZA JUU

English Barclays Premier League | LOGS

PosTeamPWDLGFGAGDPts
1Liverpool35255596445280
2Chelsea35236667264175
3Manchester City33225688345471
4Arsenal35217762412170
5Everton35209657342369
6Tottenham Hotspur35196105149263
7Manchester United341761156401657

 WAFUNGAJI UINGEREZA
PL top scorers


Chapisha Maoni