Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.


wamiriki wa timu ya machester united toka marekani glazers family kwa sasa inaelekea wamekosa imani na meneja wa timu hiyo David moyes mara baada ya kufanya vibaya katika michuano mbali mbali huku mchezo wa mwisho kufanya vibaya ikiwa ni hapo jana ambapo united walichezea kichapo cha bao 2-1 dhidi ya Everton,na familia hiyo inaamini kuwa moyes ameshindwa kuvaa viatu vya mzee fergason.


 emeelezwa kuwa moyes anaweza kuachishwa kazi  kabla ya siku ya jumamosi watakapopambana naNorwich City na kocha Mchezaji  Ryan Giggs  anatarajiwa kuchukua mikoba hiyo adi kiangazi atakapopatikana kocha mwingine,tusubiri kitakachotokea ikumbukwe kuwa toka moyes aliposaini mkataba wa miaka 6 wa kufundisha united imepita miezi 11.



Nightmare: The scale of Moyes's task at Old Trafford became apparent in the 4-1 defeat at rivals Manchester City on September 24


Nadir: United produced their most miserable performance of the season as they were beaten 2-0 by Olympiacos in the first leg of their last 16 Champions League tie


Race is on: Moyes runs along the touchline to retrieve the ball during United's New Year's Day loss to Tottenham

Protest: Moyes runs on to the pitch to appeal after a blatant handball is not given in the Tottenham match
No luck: Moyes rues a missed chance as United slipped to a 2-1 defeat to Sunderland in the first leg of their Capital One Cup semi-final

Out: With coach Phil Neville after United were knocked out of the Capital One Cup on penalties by Sunderland

The great turnaround: But a Robin van Persie hat-trick gave United a 3-0 win at Old Trafford and took them through to a last eight encounter with Bayern Munich

Anger: A fan remonstrates with Moyes during the 3-0 home defeat by Manchester City




G



Waving goodbye: The final straw was United's 2-0 loss at Goodison Park on Sunday


Chapisha Maoni