Luis Suarez ameshinda tuzo ya Mwanasoka Bora wa Mwaka Chama cha
Wachezaji wa Kulipwa England baada ya kufunga mabao 30 msimu hadi hivi sasa katika msimu wa
Ligi Kuu na kuisaidia timu yake ya Liverpool kuongoza mbio za ubingwa kwa tofauti ya poindi mbili pia Eden Hazard wa chelsea amechukua tuzo ya Eden Hazard .
All smiles: Suarez pamoja na Chelsea's Eden Hazard ambaye amepata tuzo ya Eden Hazard
WALIOWAI CHUKUA TUZO YA MWANASOKA BORA WA MWAKA ENGLAND TANGU ILIPOANZA KUTAMBULIKA.
1973–74 Norman Hunter Leeds United
1974–75 Colin Todd Derby County
1975–76 Pat Jennings Tottenham Hotspur
1976–77 Andy Gray Aston Villa
1977–78 Peter Shilton Nottingham Forest
1978–79 Liam Brady Arsenal
1979–80 Liverpool FWA
1980–81 John Wark Ipswich Town
1981–82 Kevin Keegan Southampton
1982–83 Kenny Dalglish Liverpool
1983–84 Ian Rush Liverpool
1984–85 Peter Reid Everton
1985–86 Gary Lineker Everton
1986–87 Clive Allen Tottenham Hotspur
1987–88 John Barnes Liverpool
1988–89 Mark Hughes Man United
1989–90 David Platt Aston Villa
1990–91 Mark Hughes Man United
1991–92 Gary Pallister Man United
1992–93 Paul McGrath Aston Villa
1993–94 Eric Cantona Man United
1994–95 Alan Shearer Blackburn Rovers
1995–96 Les Ferdinand Newcastle United
1996–97 Alan Shearer Newcastle United
1997–98 Dennis Bergkamp Arsenal
1998–99 David Ginola Tottenham Hotspur
1999–2000 Roy Keane Man United
2000–01 Teddy Sheringham Man United
2001–02 Ruud van Nistelrooy Man United
2002–03 Thierry Henry Arsenal
2003–04 Thierry Henry Arsenal
2004–05 John Terry Chelsea
2005–06 Steven Gerrard Liverpool
2006–07 Cristiano Ronaldo Man United
2007–08 Cristiano Ronaldo Man United
2008–09 Ryan Giggs Man United
2009–10 Wayne Rooney Man United
2010–11 Gareth Bale Tottenham Hotspur
2011–12 Robin van Persie Arsenal
2012–13 Gareth Bale Tottenham Hotspur
Chapisha Maoni