Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.


 Delight: Gareth Bale scored a vital goal for Real Madrid in extra time in the Champions League final


 
Welsh wonder: Bale with the flag of his home nation as he celebrates Real's victory
REAL Madrid ndiyo wafalme wapya wa soka Ulaya. Hiyo inafuatia kuwafunga jirani zao, Atletico Madrid mabao 4-1 katika fainali ya Ligi ya Mabingwa usiku huu Uwanja wa Luz mjini hapa iliyodumu kwa dakika 120.
Hilo linakuwa taji la kwanza kwa Real tangu mwaka 2002 na la 10 jumla baada ya awali kulibeba katika miaka ya 1956, 1957, 1958, 1959, 1960, 1966, 1998, 2000 na 2002.Real Madrid: Casillas, Carvajal, Varane, Sergio Ramos, Fabio Coentrao (Marcelo 59), Modric, Khedira (Isco 59), Di Maria, Bale, Benzema (Morata 79), Ronaldo.
Subs not used: Diego Lopez, Pepe, Arbeloa, Illarramendi.
Booked: Ramos, Khedira, Marcelo, Ronaldo, Varane.
Goals: Ramos 90, Bale 110, Marcelo 118, Ronaldo 120.
Atletico Madrid: Courtois, Juanfran, Miranda, Godin, Filipe Luis (Alderweireld 83), Raul Garcia (Sosa 66), Gabi, Tiago, Koke, Villa, Diego Costa (Adrian 9).
Subs not used: Aranzubia, Mario Suarez, Rodriguez, Diego.
Goals: Godin 36.
Booked: Garcia, Miranda, Villa, Juanfran, Gabi, Koke, Godin.
Referee: Bjorn Kuipers (Holland)


wafungaji kwa madrid Ramos,bale,ronaldo,marcelo.
Silverware: Captain Iker Casillas lifts the Champions League trophy for Real Madrid


Chapisha Maoni