Tuesday 1 July 19:00 Argentina vs Switzerland 23:00 Belgium vs USA
BALAA KWA AFRICA,ALGERIA WAPIGWA BILA HURUMA 2-0.WATUPWA NJE.
Germany 2-1 Algeria (AET, FT 0-0):Wafungaji Andre Schurrle na Mesut Ozil +9 Andre Schuerrle of Germany scores his team...
NIGERIA NDIO BASI TENA,YACHAPWA 2-0 NA UFARANSA.
Paul Pogba akishangilia bao ambalo limewavusha ufarance adi robo fainal +17 ...
Ratiba ya leo jumanne kombe la dunia hatua ya robo fainali.
19:00 France vs Nigeria 23:00 Germany vs Algeria
Arjen Robben amekiri kuwa alidanganya timu yake ikapewa penalti
Mshambulizi wa Uholanzi Arjen Robben amekiri kuwa alidanganya timu...
leo jumapili hatua ya 16 bora kombe la dunia
Sunday 29 June,leo jumapili hatua ya 16 bora kombe la dunia 19:00 Netherlands vs Mexico na 23:00 Costa Rica vs Gree...
COLOMBIA VS BRAZIL ROBO FAINALI PATACHIMBIKA
Nyota wa Colombia James Rodriguez Nyota wa Colombia na Mon...
Colombia 2-0 Uruguay
James Rodriguez amefunga bao bora zaidi katika Kombe la Dunia hadi sasa kwa mwaka huu, akiiwezesha Colombia kuitoa Uruguay katika 16 Bora...
WANACHAMA WATAKIWA KUUDHURIA KWA WINGI KATIKA MKUTANO WA UCHAGUZI MKUU WA SIMBA,JUMAPILI
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI UCHAGUZI MKUU SIMBA KAMATI ya Uchaguzi ya Simba SC inapenda kuwaalika wanachama wote wa Simba kat...
NI KIVUMBI NA JASHO 16 BORA, KOMBE LA DUNIA BRAZIL HUKU AFRIKA IKIWAKILISHWA NA NIGERIA PAMOJA NA ALGERIA PATAMU HAPO,TAZAMA RATIBA.
Saturday 28 June[jumamosi] 19:00 Brazil vs Chile 23:00 Colombia vs Uruguay Sunday 29 June [jumapili] 19:00 Netherlands v...
Mancherster united wanasa shoka,Luke Shaw
Luke Shaw amesaini mancherster united mkataba wa miaka 4 akitokea Southampton kwa £31.5millioni na kumaliza tatizo la beki wa kushoto k...
Marcio Maximo asaini miaka miwili yanga,pia asajili kiungo toka brazil
Aliyewai kuwa kocha wa timu ya Taifa ya Tanzania raia wa Brazil Marcio Maximo amesaini mkataba wa miaka miwili na Yanga,na at...