Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.


TIMU ya AZAM FC imetwaa ubingwa wa michuano ya vijana chini ya umri wa miaka 20 kwa nchi za Maziwa Makuu, maarufu kama Rollingston baada ya kuichabanga timu ya Mgulani Twalipo bao 2-0 katika fainali jioni hii Uwanja wa karume, Dar es Salaam. 
mabao yamefungwa na Jamil Mchaulu ‘Balotelli’ aliyefunga bao la kwanza dakika ya tatu, kisha Adam Omar Soba  dakika ya 88.


 Katika mchezo wa kwanza wa kuwsaka mshindi wa tatu, Champion ya Kawe ilitwaa ubingwa wa U17 kwa kuifunga 1-0 Bom Bom ya Ilala kwenye Uwanja huo huo, Karume. 


Chapisha Maoni