Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.




Kipa mwenye staili ya pekee ya kushangiliaRobert Kidiaba jana aliiokoa TP MAZEMBE  huko misri mara baada ya kupangua penalty liyopigwa na hamed ambayo ingezamisha jaanzi la TP MAZEMBE .
 
TP Mazembe, ambayo Mastraika wao mahiri, Mbwana Samata na Thomas Ulimwengu, ni Watanzania, kwenye Kundi A wamefungana kwa Pointi 7 pamoja na wenzao wa Congo DR, AS Vita, na kufuatiwa na Al Hilal ya Sudan na Zamalek, zote zikiwa na Pointi 4, huku Mechi zikiwa zimebaki 2.
Awali Jumamosii AS Vita ya Congo DR iliifunga Al Hilal ya Sudan, walioongoza kwa Bao la Dakika ya 18 la Mohamed Bashir, Bao 2-1 kwa Bao za Lusadisu Basisila, Dakika ya 81, na Penati ya Dakika ya 90 ya Agiti Etikiama.
Katika Mechi zijazo, AS Vita itakuwa huko Misri kucheza na Zamalek na TP Mazembe wako Nyumbani Lubumbashi kucheza na Al Hilal ya Sudan.
CAF CHAMPIONZ LIGI
MSIMAMO:
KUNDI A
NA
TIMU
P
W
D
L
GF
GA
GD
PTS
1
AS Vita
4
2
1
1
5
4
1
7
2
TP Mazembe
4
2
1
1
2
1
1
7
3
Al Hilal
4
1
1
2
4
5
-1
4
4
Zamalek
4
1
1
2
3
4
-1
4
RATIBA:
Julai 27
AS Vita Club 2 Al Hilal 1
Zamalek 0 TP Mazembe 0


Chapisha Maoni