Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.



SGerrard.JPG
Gerrard captaining England at UEFA Euro 2012.
Personal information
Full name Steven George Gerrard[1]
Date of birth 30 May 1980 (age 34)[1]
Place of birth Whiston, Merseyside, England
Height 1.83 m (6 ft 0 in)[2]
Playing position Midfielder
Club information
Current team
Liverpool
Number 8
Youth career
1987–1998 Liverpool
Senior career*
Years Team Apps (Gls)
1998– Liverpool 475 (111)
National team
1999–2000 England U21 4 (1)
2000–2014 England 114 (21)


MKONGWE WA SOKA NAAHODHA wa England Steven Gerrard amestaafu kucheza Mechi za Kimataifa baada ya kuichezea England mara 114.
Gerrard, mwenye Miaka 34 na ambae alianza kuichezea England Mwaka 2000 kwenye Mechi waliyoifunga Ukraine 2-0, aliichezea England kwa mara ya mwisho huko Brazil Mwezi uliopita walipotoka Sare 0-0 na Costa Rica kwenye Mechi ya Kundi D la Fainali za Kombe la Dunia.


Chapisha Maoni