Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.





 




RATIBA KAMILI KOMBE LA KAGAME 2014
KUNDI A: 
Rayon Sport (Rwanda)
Yanga SC (Tanzania)
Coffee (Ethiopia)
KMKM (Zanzibar)
Atlabar (Sudan Kusini)

KUNDI B
APR (Rwanda)
KCC (Uganda)
Fambeau de L’Est (Burundi)
Telecom (Djibouti)
Gor Mahia (Kenya)

KUNDI C:
Vital’O (Burundi)
El Merreikh (Sudan)
Polisi (Rwanda)
Benadir (Somalia)


RATIBA KOMBE LA KAGAME 2014:
Agosti 8, 2014: 
Atlabara Vs KMKM A   NYAMIRAMBO
Rayon Vs Yanga  A  AMAHORO
Gor Mahia Vs KCCA B  AMAHORO
Agosti 9, 2014: 
Vital ‘O’ Vs Banadir  C AMAHORO
Police Vs El Mereikh C AMAHORO
APR Vs Flambeau  B AMAHORO
Agosti 10, 2014:
KMKM Vs Young  A AMAHORO
Telecom Vs KCCA B NYAMIRAMBO
Coffee Vs Rayon  A AMAHORO
Agosti 11, 2014: 
Banadir Vs El Mareikh  C NYAMIRAMBO
Gor Mahia Vs Flambeau B NYAMIRAMBO
Vital’O Vs Police  C NYAMIRAMBO
Agosti 12, 2014: 
KMKM Vs Coffee A NYAMIRAMBO
Yanga Vs Atlabara  A NYAMIRAMBO
Agosti 13, 2014: 
APR  Vs Telecom B NYAMIRAMBO
KCCAVs Flambeau B NYAMIRAMBO
Agosti 14, 2014: 
Coffee Vs Atlabara A NYAMIRAMBO
Rayon  Vs KMKM A NYAMIRAMBO
Police Vs Banadir C NYAMIRAMBO
Agosti 15, 2014:
Flambeau Vs Telecom  B  NYAMIRAMBO 
APR Vs Gor mahia  B  NYAMIRAMBO
El Mareikh Vs Vital’O C  NYAMIRAMBO 
Agosti 16, 2014:
Coffee Vs Yanga  A  NYAMIRAMBO 
Rayon Vs Atlabara A  NYAMIRAMBO
Agosti 17, 2014: 
Telecom Vs Gormahia B NYAMIRAMBO
KCC Vs APR    B NYAMIRAMBO 
Agosti 18, 2014 (MAPUMZIKO)
Agosti 19, 2014:
ROBO FAINALI- NYAMIRAMBO
Agosti 21, 2014 (MAPUMZIKO)
Agosti 22, 2014:
NUSU FAINALI- AMAHORO
Agosti 23, 2014 (MAPUMZIKO)  
Agosti 24, 2014:
MSHINDI WA TATU- AMAHORO
FAINALI-  AMAHORO
(Michuano itaonyeshwa moja kwa moja na Televisheni ya SuperSport ya Afrika Kusini)



Yanga SC inayofundishwa Marcio Maximo anayesaidiwa Leonardo Neiva, wote Wabrazil na mzalendo Salvatoty Edward, imetwaa mara tano taji la michuano hiyo, 1975 visiwani Zanzibar, 1993 na 1999 mjini Kampala, Uganda na mara mbili mfululizo pia 2011 na 2012 mjini Dar es Salaam na safari hii inaiwakilisha tanzania kwa mara nyingine pale nchini Rwanda.


Maana yake watakwenda Kigali mwezi ujao kujaribu kusawazisha rekodi ya wapinzani wao wa jadi, Simba SC waliotwaa mara sita, 1974, 1991 mjini Dar es Salaam, 1992 visiwani Zanzibar, 1995, 1996 mjiji Dar es Salaam na 2002 Zanzibar tena.

pia simba ni bingwa wa kiistoria wa michuano hii amechukua mara 6



Chapisha Maoni