Miroslav
Klose amevunja rekodi ya Ronaldo na kuwa mfungaji mwenye mabao mengi
zaidi katika historia ya fainali za kombe la dunia.
Mshambuliaji
huyo wa Ujerumani alifunga bao la pili katika ushindi wa mabao 7-1
dhidi ya Brazil kwenye mchezo wa nusu fainali wa kombe la dunia na
kufikisha mabao 16.
Lilikuwa
bao lake la pili katika mashindano baada ya kufunga bao akitokea benchi
katika mchezo dhidi ya Ghana, hatua ya makundi na kumfanya alingane
mabao na gwiji wa Brazil.
- See more at: http://shaffihdauda.com/?p=3202#sthash.y18PK92p.dpuf
Klose amevunja rekodi ya gwiji wa Brazil, Ronaldo
Klose akifunga huku kiungo wa Fernandinho akimsindikiza kwa macho hapo jana brazil ilipochezea kichapo cha bao 7-1
MSIMAMO.WA WACHEZAJI WALIOFUNGA BAO NYINGI KOMBE LA DUNIA.
MILOSLAV KLOSE BAO 16
RONALDO 15
GERD MULLER 14
JUST FONTAINE 13
PALE 12
WAFUNGAJI WA JUU
Miroslav Klose 16 goals
Ronaldo 15
Gerd Muller 14
Just Fontaine 13
Pele 12
Jurgen Klinsmann 11
Gary Lineker 10
Klose
alicheza kwa mara ya kwanza fainali za kombe la dunia mwaka 2002 na
kufunga mabao matatu `hat-trick` katika ushindi wa mabao 8-0 dhidi ya
Saudi Arabia.
Alifunga
tena bao katika mechi iliyofuata ya makundi ambayo Ujerumani ilitoka
sare ya 1-1 dhidi ya Jamhuri ya Ireland, kabla ya kufunga bao la pili
katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Cameroon.
Licha
ya Ujerumani kufika fainali mwaka ule, Klose alishindwa kufunga tena
katika mashindano, akimaliza michuano kwa idadi sawa ya mabao na
Rivaldo, nyuma ya mfungaji bora, Ronaldo aliyefunga mabao 8.

Chapisha Maoni