Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.


Na Sophia Mwaipyana,Mbeya
 
Mkuwa mkoa wa Mbeya Abasi Kandolo anatarajia kuwa mgeni rasmi katika siku ya kuadhimisha miaka mitatu ya timu ya Mbeta city  inayo talajia kufanyika kesho juma mosi katika uwanja wa sokoinne mkoani hapa.
Akiongea na JELAMBA katibu wa Mbeya City Emmanuel Kimbe alisema kuwa timu yetu imetimiza miaka mitatu sasa toka ianzishwe ambapo huwa tunaiadhimisha kila tare 25 mwezi huu.
Lakini kutokana na majukumu yaliyo nje ya uwezo wetu tukaamua  tumeadhimishe siku  ya jumamosi ambayo itakuwa siku ya mapumziko iliwatu wengi waweze kufika  kwani sikuhiyo ni Family day kwasababu timu hii niyawana Mbeya.
“Tutafanya shughuli nyingi za kijami ikiwa ni kuwalipia ada watoto wasiyo jiweza  kutembelea shule maarumu ilikuwapa sapoti kwakuwa mashabiki wetu walikuwa wakifanya shughuli nyingi za kijamii  sasa ni zamu ya timu”

“Siku hiyo kutakuwa na michezo mingi  kukimbiza kuku kwa wazee ,kuvuta kamba  naatakae fika uwanjani ndiye atashiriki akipenda   na tutatoa zawadi  kwa mshindi katika kila mchezo”
 “Pia  kutakuwa na mechi kati ya mashabiki wa Mbeya City bodaboda Fc na mashabiki wa Mbeya City bajaji Fc watashuka dimbani kuonyeshana ubabe wa soka”

VILE VILE
 TIMU YA MBEYA CITY INATALAJI KUONDOKA KESHO KWENDA ZAMBIA KUCHEZA MECHI YA KILAFIKI KATIKA UWANJA WA NAKONDE  KWAJILI YA MAANDALIZI YA LIGI KUU INAYO TARAJIA KUANZA KUTIMUA VUMBI MWENZI UJAO.


AKIONGEA NA  JELAMBA VIWANJANI KATIBU WA TIMU HIYO EMMANUEL KIMBE ALISEMA KUWA  TUTAONDO KESHO KUELEKEA ZAMBIA NATUTACHEZA MECHI MOJA NA TIMU YA  HUKO AMBAYO INASHILIKI LIGI KUU ILITUWEZE KUJIPIMA


Chapisha Maoni