Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.



michuano ya kombe la kagame kwa vilabu vya Afrika mashariki na imefikia tamati leo hii kwa klabu  ya Merreikh ya Sudan imetwaaubingwa  baada ya kuwafunga wenyeji, APR bao 1-0 Uwanja wa Amahoro, Kigali, Rwanda katika mchezo mkali uliopigwa nchini humo.

cafa Kagame Cup



  Alan Wanga aliyefunga bao hilo pekee dakika ya 24 akimalizia krosi ya Ragi Abdallah bao ambalo lilidumu hadi mwisho wa mchezo.

Hilo linakuwa taji la michuano hiyo kwa Merreikh iliyoitoa Azam FC katika Robo Fainali kwa penalti 4-3 baada ya sare ya 0-0, awali ikibeba taji mwaka 1986 na 1994.
mchezo  mshindi wa tatu uliotangulia leo, Polisi ya hapa iliifunga KCC ya Uganda kwa penalty 4-2 kufuatia sare ya 0-0.
Kwa ushindi huo, El Merreikh wamezawadiwa dola za Kimarekani 30,000 wakati APR, imepata dola  20,000 kwa kushika nafasi ya pili wakayi Polisi iliyomaliza nafasi ya tatu imepata dola  10,000.
 
timu ambazo zimewai kutwaa ndoo ya michuano hiyp
mwaka[1] nchi mshindi score mshindi nchi mwandaji
1967  Kenya Abaluhya 5–0dagger[A] Sunderland  Tanzania
1968–73
Halteddagger[B]
1974  Tanzania Simba Abaluhya  Kenya  Tanzania
1975  Tanzania Young Africans 2–0 Simba  Tanzania  Zanzibar
1976  Kenya Luo Union 2–1 Young Africans  Tanzania  Uganda
1977  Kenya Luo Union 2–1 Horsed  Somalia  Tanzania
1978  Uganda Kampala City Council 0–0*[C] Simba  Tanzania  Uganda
1979  Kenya Abaluhya 1–0 Kampala City Council  Uganda  Somalia
1980  Kenya Gor Mahia 3–2 Abaluhya  Kenya  Malawi
1981  Kenya Gor Mahia 1–0 Simba  Tanzania  Kenya
1982  Kenya A.F.C. Leopards 1–0 Rio Tinto  Zimbabwe  Kenya
1983  Kenya A.F.C. Leopards 2–1 ADMARC Tigers  Malawi  Zanzibar
1984  Kenya A.F.C. Leopards 2–1 Gor Mahia  Kenya  Kenya
1985  Kenya Gor Mahia 2–0 A.F.C. Leopards  Kenya  Sudan
1986  Sudan Al-Merrikh 2–2*[D] Young Africans  Tanzania  Tanzania
1987  Uganda Villa 1–0 Al-Merrikh  Sudan  Uganda
1988  Kenya Kenya Breweries 2–0 Al-Merrikh  Sudan  Sudan
1989  Kenya Kenya Breweries 3–0 Coastal Union  Tanzania  Kenya
1990
Not helddagger[E]
1991  Tanzania Simba 3–0 Villa  Uganda  Tanzania
1992  Tanzania Simba 1–1*[F] Young Africans  Tanzania  Zanzibar
1993  Tanzania Young Africans 2–1 Villa  Uganda  Uganda
1994  Sudan Al-Merrikh 2–1 Express  Uganda  Sudan
1995  Tanzania Simba 1–1*[G] Express  Uganda  Tanzania
1996  Tanzania Simba 1–0 Armée Patriotique Rwandaise  Rwanda  Tanzania
1997  Kenya A.F.C. Leopards 1–0 Kenya Breweries  Kenya  Kenya
1998  Rwanda Rayon Sports 2–1 Mlandege  Zanzibar  Zanzibar
1999  Tanzania Young Africans 1–1*[H] Villa  Uganda  Uganda
2000  Kenya Tusker 3–1 Armée Patriotique Rwandaise  Rwanda  Rwanda
2001  Kenya Tusker 0–0*[I] Oserian  Kenya  Kenya
2002  Tanzania Simba 1–0 Prince Louis  Burundi  Zanzibar
2003  Uganda Villa 1–0 Simba  Tanzania  Uganda
2004  Rwanda Armée Patriotique Rwandaise 3–1 Ulinzi Stars  Kenya  Rwanda
2005  Uganda Villa 3–0 Armée Patriotique Rwandaise  Rwanda  Tanzania
2006  Uganda Police 2–1 Moro United  Tanzania  Tanzania
2007  Rwanda Armée Patriotique Rwandaise 2–1 Uganda Revenue Authority  Uganda  Rwanda
2008  Kenya Tusker 2–1 Uganda Revenue Authority  Uganda  Tanzania
2009  Sudan ATRACO 1–0 Al-Merrikh  Sudan  Sudan
2010
Not helddagger[J]
2011  Tanzania Young Africans 1–0 Simba  Tanzania  Tanzania
2012  Tanzania Young Africans 2–0 Azam  Tanzania  Tanzania
2013  Burundi Vital'O 2–0 A.P.R.  Rwanda  Sudan
Notes


Chapisha Maoni