Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.




Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa mchezo kati ya yanga na timu toka Malawi Big Gullets imeota mbawa baada ya gari ambalo timu hiyo ilikuwa ikisafiria kuharibika kabla ya kuvuka mpaka wa malawi na tanzania na kuchelewa kupata usafiri mwingine ili kuweza kuwahi muda wa masaa 12 ya kusafiri njiani hadi jijini dar.

 Taarifa hizi ni kwa mujibu wa msanifu kondo katibu mkuu wa drfa, ambaye amewaomba radhi mashabiki wa soka nchini kwa usumbufu uliojitokeza na utakaoendelea kujitokeza kutokana na uzito wa mechi hiyo.


Chapisha Maoni