Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.


TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania,Taifa Stars imechezea  kipigo cha mabao 2-0 katika mechi yake ya kirafiki iliyomalizika hivi punde mjini Bujumbura,Brundi.
  hikini mara ya pili Stars inafungwa na Warundi hao ambao ndani ya mwezi mmoja tu na ushee, waliifunga Stars mabao 3-0 jijini Dar es Salaam bila huruma.
Katika mechi hiyo ya leo ya kupandisha viwango, Burundi ilipata mabao yote yalipatikana katika kipindi cha kwanza.
Bao la kwanza lilifungwa na Saido Ntibazonkiza katika dakika ya kwanza sekunde ya 40,Bao la pili lilifungwa na Yusuf Ndikumana ‘Lule’ katika dakika ya 29  bao ambalo lilizamisha jahazi la Tanzania..


Chapisha Maoni