Marin Cilic wa Croatia ameibuka bingwa wa US Open kwa kumfunga Kei Nishikori wa Japan
Mpambano huo umechezwa katika uwanja wa Arthur Ashe Mjini New York Marekani.Cilic amepokea kombe la michuano ya tennis upande wa wanaume kwa mara ya kwanza baada ya kumshindilia mpinzani wake seti tatu za 6-3, 6-3 , 6-3.
Hii ni mara ya kwanza katika historia ya fainali za US Open ambapo mchezo wa mwisho unawakosa mmoja kati ya wachezaji wakali akiwemo Andy Murray, Novak Djokovic ama Roger Federer.
Cilic anakuwa Mkroatia wa kwanza kutwa ubingwa wa moja kati ya mashindano makubwa manne ya tenis duniani tangu kocha wake Goran Ivanisevic abebe ubingwa wa Wimbledon mwaka 2001.
Marin
Čilić
|
|
Čilić
in the 2014 Madrid Open
|
|
Country
|
|
Residence
|
|
Born
|
|
Height
|
1.98 m (6 ft 6 in)
|
Turned pro
|
2004
|
Plays
|
Right-handed (two-handed backhand)
|
Coach(es)
|
|
Prize money
|
$7,581,780
|
Singles
|
|
Career record
|
291–160 (64.38%)
|
Career titles
|
11
|
Highest ranking
|
No. 9 (22 February 2010)
|
Current ranking
|
No. 16 (18 August 2014)
|
Grand
Slam Singles results
|
|
Other
tournaments
|
|
Doubles
|
|
Career record
|
56–62
|
Career titles
|
0
|
Highest ranking
|
No. 49 (15 April 2013)
|
Current ranking
|
No. 300 (7 July 2014)
|
Last updated on: July 7, 2014.
|
Chapisha Maoni