MWANARIADHA mahili kwa upande wa walemavu Oscar Pistorius anakabiliwa na kifungo gerezani baada
ya kukutwa na hatia ya kumuua mpenzi wake Reeva Steenkamp.
Jaji Thokozile Masipa akitangaza kuwa Pistorius hajakutwa na hatia
ya kuuza kwa kukusudia jana alhamisi.
Mwanariadha huyo alikuwa anakabiliwa na kesi ya kuua kwa kukusudia,
lakini ushindi juu ya hilo haukujitosheleza.
Jaji Masipa aliiambia mahakama: ” Kwa kuzingatia ushahidi wote
uliowasilishwa katika mahakama: Kosa la kwanza, muuaji hajakutwa na hatia ya
kuua kwa kukusudia na anaachiwa huru kwa hilo”.
“Badala yake amekutwa na hatia ya kuua”
Pistorius at the 2011 World Championships in Athletics in Daegu, South Korea
|
|
Personal information | |
---|---|
Nickname(s) | Blade Runner; the fastest man on no legs; "Oz" Pistorius[1] |
Born | 22 November 1986 Sandton, Johannesburg, Transvaal Province, South Africa |
Alma mater | University of Pretoria (did not graduate) |
Height | 1.84 m (6 ft 1⁄2 in) in prosthetics[2] |
Weight | 80.6 kg (178 lb) (2007)[3] |
Website | www.oscarpistorius.com |
Sport | |
Country | South Africa |
Sport | Running |
Event(s) | Sprints (100, 200, 400 m) |
Achievements and titles | |
World finals | 2005 Paralympic World Cup: 100 m (T44) – Gold; 200 m (T44) – Gold |
National finals | 2007 South African Senior Athletics Championships: 400 m (T44) – Gold |
Paralympic finals |
2004 Summer Paralympics: 100 m (T44) – Bronze; 200 m (T44) – Gold 2008 Summer Paralympics: 100 m (T44) – Gold, 200 m (T44) – Gold; 400 m (T44) – Gold 2012 Summer Paralympics: 200 m (T44) – Silver; 4 × 100 m relay – Gold; Men's 400 m (T44) – Gold |
Highest world ranking |
100 m: 1st (2008)[4] 200 m: 1st (2008)[5] 400 m: 1st (2008)[6] |
Personal best(s) |
100 m (T44): 10.91 s (2007, WR)[7] 200 m (T44): 21.30 s (2012, WR)[8] 400 m: 45.07 s[9] |
Chapisha Maoni