Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.


Mbeya City fc imechabangwa mabao 4-1 na Vipers FC (Zamani Bunamwaya) inayoshiriki ligi ya Uganda katika mechi ya kimataifa ya kirafiki iliyomalizika jioni ya leo uwanja wa Sokoine jijini Mbeya,ambapo hiyo ni mechi ya mwisho kari kwa mbeya city adi kuanza kwa ligi kuu ya vodacom bara.

Tatizo la mbeya city leo lilikuwa ni kucheza mpira wa taratibu sana tofauti na ilivyozoeleka hali ambayo ilipelekea kukimbizwa sana na wageni hao.


Chapisha Maoni