Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.





Na Sophia Mwaipyana,Mbeya
 
Timu ya Tanzania Prisons inayo shiriki ligi kuu ya mkoani hapa  inatarajia kuondoka kesho kutwa  Jumatatu  kueleke jijini Dar –es-salaam kwajili yamaandalizi ya ligi kuu.
 
Akiongea na Championi Jumamosi meneja  watimu hiyo Enock Mwanguku alisema kuwa  tunatalajia kuondoka jumatatu asubuhi kuelekea  Dar –es-salaam kwajili ya kufanya maandalizi ya mwisho kujianda na ligi kuu inayo talajia kuanza kutimua vumbi  hivi karibuni
 
“Katika safari hiyo   hatutaenda moja kwamoja hadi Da-es-salaam kituo chakwanza tuta shuka  Iringa ambapo tutacheza mechi na timu ya Lipuli Fc ambayo inashiliki ligi dalaja la kwanza”
 
 
“Mechi hiyo tutacheza  siku ya juma tatu hiyohiyo au siku ya juma nne kisha tutaelekea mkoani Morogoro tutakuwa na mechi na Mtibwa Sugar   baada ya mechi  ndiyo tutaelekea  Dar-es-salaam ambako tuta jifua hadi ligi itakapoanza kwakuwa sisi  mechi yetu yakwanza  tunaanzia  mkoani Pwani”
 
 
“Pia  leo Juma mosi tutakuwa na mechi na Timu ya Kimondo Sc katika uwanja wa sokoinne kama tulivyo pangiwa na Tff mechi ya kirafiki tunatakiwa tucheze na Kimondo nahuo ndiyo utakuwa mchezo wetu wamwisho wakirafiki kwahapa Mbeya ”
 


Chapisha Maoni