Bondia
Said Mbelwa kushoto akioneshana umwamba na Geore Dimoso wakati wa
mpambano wao uliofanyika jumamosi jana Mbelwa alishinda kwa point Picha
na SUPER D BLOG
Bondia Georger Dimoso kushoto
akipambana na Said Mbelwa wakati wa mpambano wao uliofanyika jumamoso
iliyopita Mbelwa alishinda kwa point mpambano huo wa raundi nane Picha
na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Mashabiki wa mchezo wa masumbwi wakifatilia kwa makini mchezo huo
S |
Bondia Hamza Mchanjo kushoto akipambana na Juma Fundi wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa Frends Corner Manzese Fundi alishinda kwa point mpambano huo wa raundi sita picha na SUPER D BLOG |
Bondia Aman Bariko 'Manny Chuga' akioneshana umwamba na Ally Bugingo wakati wa mpambano wao Bariki alishinda kwa point picha na SUPER D BLOG
Bondia Zamoyoni Mbishi kushoto
akipambana na Sadiq Nuru wakati wa mpambano wao uliofanyika jana Mbishi
alishinda kwa pointi picha na SUPER D BLOG
Bondia Hassan Mandula kulia
akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Mohamed Jaka Mandula
alishinda kwa TKO ya raundi ya pili picha na SUPER D BLOG
Chapisha Maoni