Mbeya City imekiona cha mtemakuni baada ya kuchapwa mabao 2-0 nyumbani kwao Sokoine mjini Mbeya.
Wafungaji ni Ali Amer na
mkongwe Vicent Barnabas.
Kwa ushindi huo, tayari Mtibwa Sugar imezifunga timu kubwa mbili, ikianza na Yanga wakati wa ufunguzi wa ligi iliyoishinda kwa mabao 2-0.
Chapisha Maoni