Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.







Redds Miss Tanzania anayemaliza muda wake, Happiness Watimanywa kutoka Dodoma atamvisha taji hilo mrithi wake atakayepatikana katika fainali ya leo itakayoshindanisha warembo 30 kutoka mikoa mbalimbali nchini hapa nchini

Mrembo wa 20 wa Taifa (Miss Tanzania) atajulikana usiku wa leo katika fainali itakayofanyika kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Mbali ya zawadi hiyo ya mshindi wa kwanza, mshindi wa pili atazwadiwa Sh6 milioni wakati wa tatu atapewa Sh4.2 milioni na wanne ataondoka na Sh3.2 milioni.
Mshindi wa tano atapewa Sh2.2 milioni na watakaomaliza ndani ya 15 bora wataondoka na Sh1.2 milioni kila mmoja.
Warembo wengine 15 watazawadiwa Sh700,000 kila mmoja kama zawadi ya kifutajasho.
Lundenga alisema kuwa warembo 30 wana nafasi sawa ya kushinda nafasi ya kwanza na mwaka huu ushindani umekuwa mkubwa zaidi kulinganisha na miaka ya nyuma.


Chapisha Maoni