Sneijder with Netherlands in 2012 |
|||
Personal information | |||
---|---|---|---|
Full name | Wesley Sneijder[1] | ||
Date of birth | 9 June 1984 | ||
Place of birth | Utrecht, Netherlands | ||
Height | 1.70 m (5 ft 7 in)[2] | ||
Playing position | Attacking midfielder | ||
Club information | |||
Current team
|
Galatasaray | ||
Number | 10 | ||
Youth career | |||
1991–2002 | Ajax | ||
Senior career* | |||
Years | Team | Apps† | (Gls)† |
2002–2007 | Ajax | 126 | (43) |
2007–2009 | Real Madrid | 52 | (11) |
2009–2013 | Internazionale | 76 | (13) |
2013– | Galatasaray | 45 | (16) |
National team‡ | |||
2000–2001 | Netherlands U17 | 6 | (2) |
2001–2002 | Netherlands U19 | 8 | (3) |
2003 | Netherlands U21 | 1 | (0) |
2003– | Netherlands | 108 | (27) |
Akiongea na Wanahabari akiwa Kambini mwa Timu ya Taifa ya Netherlands ambayo sasa ipo kwenye kitimtim cha Mechi za Makundi ya UEFA EURO 2016, Sneijder amekiri kutolipwa Mshahara wake.
Ameeleza: “Ni kweli sijapewa Fedha. Galatasaray wanahangaika kuweka sawa mambo yao ya Fedha. Mawakala wangu wanajaribu kutafuta suluhu ya jambo hili.”
Inaaminika Wesley Sneijder hajalipwa karibu Euro Milioni Moja ya Mshahara wake.
Sneijder alikuwa mmoja wa Wachezaji muhimu wa Meneja wa sasa wa Man United, Luis Van Gaala, alipoisimamia Nchi yake Netherlands kwenye Fainali za Kombe la Dunia zilizochezwa huko Brazil Mwezi Juni na Julai Mwaka huu na Nchi hiyo kufika Nusu Fainali.
Chapisha Maoni