Mshambuliaji wa West Bromwich Albion Saido Berahino mwenye asili ya Burundi ametajwa kwenye timu ya Taifa ya England.
Mshambuliaji
huyo mwenye umri wa miaka 21 anatarajiwa kuonekana kwenye orodha ya
majina ya timu ya England katika mechi ya kimataifa ya kuwania kufuzu
fainali za Euro mwaka 2016 kati England Slovenia mechi itakayopigwa
Novemba 15 mwaka huu.Berahino ambaye alizaliwa nchini Burundi tayari ameshatia wavuni magoli saba katika mechi 10 za ligi kuu ya England ambayo timu yake West Bromwich imecheza kwa msimu huu.
Timu kamili iliyotajwa na kocha England Roy Hodgson hii hapa chini
Chapisha Maoni