Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.


 

SHABIKI  mmoja mjini Kisumu Magharibi mwa Kenya, alimng'ata sikio jirani yake baada ya mechi ya soka ya ligi ya uingereza iliyokuwa na matokeo yasiyo ya kuridhisha kwa upande wake.

Mwanamume huyo ambaye ni shabiki sugu wa klabu ya soka ya Arsenal aliamua kujiondolea hasira ya klabu yake kushindwa na Manchester United kwa kumng'ata hasimu wake wa Man U sikio lake Jumamosi usiku.

mashuuda wa tukio hilo wanasema kuwa shabiki huyo sugu wa Arsenal hangeweza kuumilia kukejeliwa na jirani yake shabiki wa Man United baada ya klabu yake kufungwa bao 2-1.

shabiki  huyo alifungiwa katika chumba kimoja na wakazi wa mtaa wa Railways mjini humo, ambao walitaka kumuua kwa kitendo chake. Inadaiwa hii ni mara ya pili kwa mwanamume huyo kumng'ata mwenziwe sikio kwa sababu za kisoka.


English Barclays Premier League | LOGS

PosTeamPWDLGFGAGDPts
1Chelsea12102030111932
2Southampton118122351825
3Manchester City1273224131124
4Manchester United125431915419
5Newcastle United125431415-119
6West Ham United125342016418
7Swansea City125341613318
8Arsenal124532015517
9Everton124532219317
10Tottenham Hotspur125251617-117
11Stoke City124351315-215
12Liverpool124261518-314
13West Bromwich Albion123451317-413
14Sunderland122731219-713
15Crystal Palace123361721-412
16Hull City122551417-311
17Aston Villa11326516-1111
18Leicester City122461118-710
19Burnley12246820-1210
20Queens Park Rangers122281123-128


Chapisha Maoni