Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.




Uongozi wa Mbeya City, umekaa na kukubaliana na Kocha Juma Mwambusi ambaye mwenyewe alitangaza kubwaga manyanga, kwamba aendeleI kuinoa timu hiyo.



Hii hapa taarifa kutoka Manispaa ya Mbeya:

MWALIMU JUMA MWAMBUSI

Mwalimu Juma Mwambusi ni muajiriwa wa Halmashauri ya jiji la Mbeya anayesimamia benchi la ufundi la timu yetu.

Menejimenti ilikutana na Kocha Juma Mwambusi katika vikao vyake vya kawaida kupitia changamoto kadhaa zilizojitokeza katika michezo saba ya awali mara baada ya kuwasilisha ripoti ya maendeleo ya timu.


Kocha Mwambusi na menejiment tumeridhiana kwa faida ya mpira wa miguu na jamii inayoizunguka timu yetu anaendelea kuifundisha timu ya Mbeya City FC.

Nachukua nafasi hii kuujulisha umma kuwa Mwl.Juma Mwambusi ndiye Kocha Mkuu wa timu na hivi sasa anandaa program ya mafunzo kwa mzunguko wa
pili wa ligi unaotarajia kuanza disemba 2014.

Imetolewa na

Emmanuel Kimbe

KATIBU MKUU

Mbeya City FC
 

Standings


Rnk
TeamMPWDLGFGA+/-Pts

1
Mtibwa Sugar7430103715

2
Young Africans741295413

3
Azam741284413

4
Coastal Union732297211

5
Kagera Sugar724164210

6
JKT Ruvu731377010

7
Simba SC71607619

8
Polisi Morogoro723267-19

9
Mgambo JKT730447-39

10
Stand United723259-49

11
Ruvu Shooting721447-37

12
Tanzania Prisons713367-16

13
Ndanda7205812-46

14
Mbeya City712426-45


Chapisha Maoni