Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.


Manchester city imejitoa muhanga usiku wa leo baada ya kuibuka na ushindi wa bao 3-2 dhidi ya timu ngumu toka ujermani Bayern Munich katika mchezo mgumu iliopigwa katika uwanja wa Man city.

Mabao ya City yamewekwa kimiania na  Sergio Aguero yote matatu huku lile la kufutia machozi la Bayern likifungwa na  kiungo Xabi Alonso dakika ya 40 ya mchezo,huku mchezaji wa bayern akiambulia kadi nyekundu dakika ya 21Mehdi Benatia

 

 kikosi cha Manchester City (4-2-3-1): Hart 5; Sagna 5 (Zabaleta 68, 6), Kompany 5.5, Mangala 5, Clichy 5.5; Fernando 6, Milner 6.5 (Jovetic 66, 6); Jesus Navas 6, Lampard 7, Nasri 6.5; Aguero 8 (Demichelis 94).
Subs not used: Caballero, Boyata, Glendon,

kikosi cha Bayern Munich (4-3-3): Neuer 6.5; Rafinha 6, Benatia 4, Boateng 5.5, Bernat 6; Alonso 7; Hojbjerg 7, Rode 6.5 (Dante 25, 6.5); Robben 7.5, Lewandowski 7.5 (Shaqiri 84), Ribery 7 (Schweinsteiger 81).
Subs not used: Zingerle, Gaudino, Gotze, Muller. 

Bayern's Moroccan defender Mehdi Benatia slides in on Sergio Aguero with the Manchester City striker through on goal and in the box
Aguero appeals for a penalty as he is upended by Benatia, who made no contact with the ball
Benatia appeals in vain as he is shown a red card in tby Czech referee Pavel Kralovec to hand the advantage to Man City
Aguero opts to side-foot his penalty as Bayern's Xabi Alonso (left) and Jerome Boateng hope to capitalise on any rebound
Aguero sends the ball sailing to the left-hand post of Bayern's German international goalkeeper Manuel Neuer
Aguero wheels away in celebration after giving Manchester City a 1-0 lead against the 10 men of Bayern Munich
Aguero is congratulated by his City team-mates - led by captain Vincent Kompany - after he put the home side in the driving seat


Chapisha Maoni